WAZIRI KIGWANGALLA ATOA SOMO KUHUSU UHIFADHI KWA WANANCHI WANAOISHI HIFADHI YA NGORONGORO
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi
Kigwangalla akizungumza na viongozi na Wazee wa Kimila wa Kabila la Masai
wanaoishi katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro , viongozi wa Halmashauri ya
wilaya ya Ngorongoro na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro alipokutaa nao
kujadili changamoto za hifadhi ya Ngorongoro na hatua shirikishi za uhifadhi zilizopangwa
kuchukuliwa na Serikali kwa wananchi wanaoishi
katika eneo hilo.
Baadhi ya viongozi na Wazee wa Kimila wa
kabila la masai wanaoishi katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro wakifuatilia kwa
makini mkutano kati yao na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla
wilayani Ngorongoro
Post a Comment