Serena hotel yatekekeza agizo la Meya Ilala.
Mwambawahabari
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto, amemshukuru uongozi wa Serena Hotel kwa kutekeleza agizo Lake alilo litoajana kwaajili ya kushiriki katika zoezi la kuweka mazingira safi kwaajili ya ugeni wa viongozi wa Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC.
Akizungumza akizungumza na Mwambawahabari, Meya Kumbilamoto , amempongeza Meneja wa hotel hiyo ndugu Seraphin Midana Lusala na kusema kuwa amekuwa mfano wa kuigwa na viongozi wengine.
"Mwamba nashukuru sana agizo nililotoa jana Meneja ametekeleza vyumba vyote barabarani katika mazingira yanayowazunguka wamepaka rangi ya bendera ya Taifa" alisema Kumbilamoto

Post a Comment