Ads

SAPSN WAKUTANA DAR KUDILI maendeleo SADC



Jukwaa la The Sourthern African People's Solidarity Network (SAPSN) wamekutana nchini Tanzania kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya kimaendeleo katika uchumi, siasa, mazimgura pamoja na masual ya kijamii kwa ujumla.

Akizungumza na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi wa Mkutano huo Bw. Severine Allute, amesema kuwa mkutano huo utaaza Agosti I3-17 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

Amesema kuwa nchi mbalimbali katika kipindi chote cha mkutano watajadili masula ya kiuchumi, siasa na jamii kwa ujumla ambayo yalitakiwa kufanyiwa utekelezaji SADC.

Miongoni mwa nchi zinazoshiriki mkutano huo ni pamoja na Angola, Zambia, Tanzania ambapo kwa pamoja wataonyesha utamaduni wao kwa ajili ya maendeleo ya wanachama wa umoja huo.

No comments