Ads

Picha DC Mjema anogesha mapokezi ya wageni SADC



Mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema (katikati)akiwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Jumanne Shauri na mwanamziki wa Segere Siza Mazongera katika mapokezi ya Viongozi wa SADC Dar es Salaam leo.

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala akiimba na vikundi vya Hamasa eneo la Posta Manispaa ya Ilala katika  mapokezi viongozi wa SADC waliowasili 

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema akiwa eneo la Tazara Wilayani Ilala  na Vikundi vya Hamasa katika mapokezi ya Viongozi wa SADC
 Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Jumanne Shauri , wakicheza na vikundi vya hamasa eneo la Stesheni Wilayani Ilala leo katika mapokezi ya Viongozi wa SADC


Msanii wa Kizazi kipya wa nyimbo za Singeli Msaga sumu akitoa burudani   katika mapokezi ya Viongozi wa SADC  (Kushoto )Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema

No comments