Ads

HII HAPA RATIBA YA ROBO FAINALI KLABU BIGWA BARANI ULAYA.



Hatua ya robo fainali itaanza kutimua vumbi mapema mwezi Aprirl mwaka huu  na makundi hayo yapo kama ifuatavyo:-

Ajax atamenyana na Juventus.

Liverpool dhidi ya FC Porto.

Totthenhum dhidi ya Manchester City.

Manchester United dhidi ya Barcelona.

Mshindi kati ya Liverpool na FC Porto atamenyana na mshindi kati ya Manchester United na Barcelona kwenye hatua ya nusu fainali huku mshindi kati ya Ajax na Juventus atamenyana na mshindi kati ya Totthenham na Manchester City.

No comments