Ads

MFUMO MPYA WA KUZUIA NA KUDHIBITI WIZI WA VYOMBO VYA MOTO KUZINDULIWA DAR


Mwambawahabari
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa Kushirikiana  na Taasisi ya  "TAMOBA"
[Tanzania tracking tecknology Security&Monitoring System"]

Ambao ni
"Mfumo Maalum wa kielektronic wa kuzuia na kudhibiti Uhalifu Unaotokana na vyombo vya Usafiri"

Wanatarajia Kuzindua Mfumo huo tarehe 10/02/2019 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Saa Mbili Kamili ya Asubuhi.

Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Mfumo huo atakuwa Makamu wa *Pili* wa Rais wa Zanzibar
Mheshimiwa Balozi Seif Idd

Wadau Maalum katika kufanikisha Mfumo huo watakuwepo ambao ni TTCL,
Viwanda vya JWTZ,
JKT(Garment Factory Suma JKT na CMTU-Chang'ombe)
NMB-Bank, CRDB-Bank, CMPD, Jeshi la Police na Kampuni ya Ulinzi na Usalama.

Baada ya Uzinduzi huo hafla fupi ya burudani itafanyika katika Ukumbi wa
"Police Officer's Mess-Osterbay"

Nyote Mnakaribishwa!

No comments