Ads

MBUNGE WA IRAMBA DKT. MWIGULU APATA AJARI, AKIMBIZWA HOSPITALI

 Mbunge wa Iramba Magharibi (CCM), Dkt. Dk Mwigulu Lameck Nchemba amepata ajali ya gari leo Februari 13, 2019 asubuhi akiwa njiani katika Barabara ya Iringa kuelekea Dodoma.

Taarifa zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi zimeeleza kuwa chanzo cha ajali hiyo ni gari lake liligonga Punda barabarani ambapo baada ya ajali hiyo, amekimbizwa katika Hospitali ya Dodoma kwa ajili ya matibabu zaidi.

No comments