MAJALIWA ATEMBELEA KAMBI YA WAKIMBIZI YA NDUTA WILAYANI KIBONDO
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye moja ya madarasa
katika Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa iliyopo kwenye Kambi ya
Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019. Wapili kushoto
ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua madaftari ya wanafunzi wa
Shule ya Msingi ya Kassim Majaliwa wakati alipotembelea baadhi ya
madarasa ya Shule hiyo, Februari 18, 2019. Wapili kushoto ni mkewe
Mary. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiteta na Waziri wa
Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa, Joyce Ndalichako wakati Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa alipotembelea Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani
Kibondo, Februari 18, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watoto wa Shule ya
Msingi ya Kassim Majaliwa wakati alipokagua madarasa ya Shule hiyo
katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, Februari 18, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment