WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIAHIRISHA BUNGE LEO JIJINI DODOMA.
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya
kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 9.2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana
na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akijadili jambo na Waziri wa nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, Angela Kairuki, bungeni jijini Dodoma,
Februari 9.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment