Picha zaIkulu : Rais Magufuli Akutana Na Kufanya Mazungumzo Na Wakuu Wa Mikoa Pamoja Na Makatibu Tawala Wa Mikoa Ikulu Jijini Dar Es Salaam




Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
katika kikao kilichowahusisha Wakuu wote wa Mikoa pamoja na Makatibu
Tawala wa Mikoa.
Kikao
hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi, baadhi ya Mawaziri
pamoja na Makatibu Wakuu wa baadhi ya Wizara, Ikulu jijini Dar es
Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwanasheria Mkuu wa
Serikali Dkt. Adelardus Kilangi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi
wa Umma na Utawala Bora George Mkuchika, Waziri wa TAMISEMI Selemani
Jafo pamoja na Wakuu wa Mikoa yote mara baada ya kikao chao pamoja na
Makatibu Tawala kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Post a Comment