Ads

Naibu Meya Ilala, kutatua kero za wajasiliamali wadogo Wadogo Vingunguti.



Naibu Meya wa Maispaa ya Ilala ambaye pia ni Diwani wa kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto, akimsikiliza  mama mlemavu, mjasilia mali anayeuza Nazi, akinifahamisha changamoto yake ya magongo ya kutembelea, ambapo amemuahidi kumnunulia magongo hayo

Mwambawahabari
Kumbilamoto, ametoa ahadi hiyo akiwa katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za wajasiliamali wadogo Wadogo  katika kata ya Vingunguti.
Amesema, wajasiliamaliamali  wa kata hiyo wanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazo wakwamisha kuendelea kibiashara na kusema kuwa anatembelea wajasiliamali hao,  ili awezekuwasaidia kuzifamu na kuweka mkakati rasmi wa kuwa saidia ikiwemo kuwa ongezeko mitaji na kuboresha maeneo yao ya biashara.

No comments