TFF YATANGAZA UCHAGUZI KLABU YA YANGA.
Kamati ya Uchaguzi ya Shiriko la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetangaza kuanza mchakato wa uchaguzi maalum wa kujaza nafasi ambazo zilizo wazi ndani ya klabu ya Yanga ikiwemo ile ya Mwenyekiti.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Ally Mchungahela amesema zoezi la kuchukua fomu kwa wagombea litaanza Novemba 8 hadi 13 2018.
Aidha ameeleza kuwa uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Januari 13 2019.
TFF wamemua kutangaza rasmi kuanza mchakato huo mara baada ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT) kuwataka wausimamie wakieleza kuwa kamati ya Yanga haijitoshelezi.
BMT waliitaka TFF itimize majukumu hayo katika kikao na wanahabari kilichofanyika siku chache zilizopita

Post a Comment