Ads

MASHINDANO YA SPORTPESA CUP YATAMBULISHWA.

Mashindano ya Sportpesa cup yametambulishwa rasmi kwa mwaka ujao ambapo yatafanyika nchini katika mikoa miwili tofauti ya Dar es Salaam na Mwanza.

Mashindano hayo yanatarijiwa kuhusisha timu nane kutoka Tanazania na kenya. timu kutoka Tanzania ni Simba, Yanga, Singida Unted, pamoja na Mbao ambao watakakua wenyeji wa Mkoa wa Mwanza.

No comments