SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR AMTEMBELEA SPIKA WA BUNGE MJINI DODOMA
Mwambawahabari
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akifurahi jambo wakati akimsikiliza Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Zuberi Ali Maulid alipomtembelea ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (wa kwanza kulia) akifurahi katika picha ya pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Zuberi Ali Maulid alipomtembelea ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma na Mheshimiwa Jenista Mhagama Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Watu wenye Ulemavu .
Post a Comment