Ads

SPIKA JOB NDUGAI ATEMBELEWA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOM

Mwambawahabari
IMGL5157
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia)akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy
IMGL5217
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) na Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy,  pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
IMGL5230
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) na kulia ni  Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy,  pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
IMGL5331
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka ubalozi wa Uingereza uliomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (watatu kulia).
IMGL5340
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akiagana na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. katikati ni Mwakilishi Mkazi wa DFID hapa nchini, Ndg. Beth Arthy
IMGL5411
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
IMGL5417
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akimsikiliza Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (kushoto) pale ugeni kutoka ubalozi huo ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
IMGL5476
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (wa pili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Ubalozi wa Uingereza ulioongozwa na  Balozi wa Uingereza nchini, Sarah Cooke (katikati) ulipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma.
PICHA NA OFISI YA BUNGE

No comments