ANNA ABDALLAH APONGEZWA KUWA MWENYEKITI WA BODI YA WADHAMINI YA TGGA
Mwenyekiti
mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA),
Anna Abdallah (kushoto), akipongezwa na Kamishna Mkuu wa TGGA,
Symphorosa Hangi (kulia) na Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Profesa
Martha Qorro baada ya kuchaguliwa Dar es Salaam jana. (PICHA ZOTE NA NA
RICHARD MWAIKENDAKAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Mwenyekiti
mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA),
Anna Abdallah (kushoto),Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi
(kulia) na Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Profesa Martha Qorro wakipiga makofi wakati wa mkutano huo wa kumtambulisha Anna.
Mwenyekiti
mpya wa Bodi ya Wadhamini ya Tanzania Girl Guids Association (TGGA),
Anna Abdallah (kushoto), akipongezwa na Mjumbe wa Bodi hiyo, Zakia
Meghji.
Post a Comment