WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI 102 WAFUTIWA USAJILI.
mwambawahabari
Wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi wametakiwa kuFanya Kazi zao kwa njia ya mtandao ambayo inaboresha utendaji na ufanisi wa Kazi yaubunifu wa miradi ya Ujenzi na kupunguza muda wa kukamilisha michoro na nyaraka muhimu zaujenzi ilikwenda na wakati.

Akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa 26 wabody ya usajili wa wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi waziri wa ujenzi , uchukuzi mh pro.Makame Mbarawa amesema gharama za uendeshaji wa afisi kwa kutumia mtandao badala ya karatasi hupunguza athari za mazingira na kuwajengea uwezo wataalam.
Aidha professor Mbarawa ameitaka bodi hiyo kuwachukulia hatua Kali wale Wote watakaovunja maadili na kuharibumiradi,kwa kuwa piga faini ikiwemokuwa futia usajili na kuwatangaza katika vyombo vya habari ili wapate aibu na wasipewe Kazi nyingine.
Naye msajili wabodi hiyo Dr ambwene Mwakyusa amesema bodi imekuwa ikichukua hatu Kali kwa wanachama wake wanapatikana na makosa ambapo kwa Sasa tayari imewafutia usajili wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi wapatao 102na kufutia usajili makampuni 48 nakutoza faini jumla ya shilingi milioni miamoja na sabinatisa elf miatano.
Post a Comment