Ads

Habari picha waathirika sumu kuvu kupewa chakula cha msaada

Displaying pix 1.JPG
Naibu Waziri Wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,  Dkt. Hamis Kigangwala akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari na watafiti mbalimbali hawapo pichani wakati wa uzinduzi wa mkutano wa watafiti wa chakula uliojadili madhara na athari za sumukuvu uliofanyika jijini Dar es salaam.
Displaying pix 2.JPG
Naibu Waziri Wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,  Dkt. Hamis
Kigangwala wa kwanza kulia akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu Bw. Hiiti Silo kushoto na Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma na ubora Wizara ya afya Dkt. Mohammed Mohammed  katikati wakati wa uzinduzi wa mkutano wa watafiti wa chakula uliojadili madhara na athari za sumukuvu uliofanyika jijini Dar es salaam.
Displaying pix 3.JPG
Watalaamu wa utafiti na wadau mbalimbali wa afya kutoka nchi mbalimbali wakifuatilia kwa makini maelezo ya Naibu Waziri Wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,  Dkt. Hamis Kigangwala hayupo pichani wakati wa uzinduzi wa mkutano wa watafiti wa chakula uliojadili madhara na athari za sumukuvu uliofanyika jijini Dar es salaam.

Picha zote Na Ally Daud

No comments