Ads

RC Kagera aipokea Kilimanjaro Queens. Awapongeza kwa ushindi

 mwambawahabari

 Displaying Pix 1.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasilini Mkoani Kagera wakitokea nchini Uganda kushiriki mashindano ya CECAFA kwa wanawake ambapo wameibuka mabingwa kwa mwaka 2016.

Displaying Pix 2.jpg

Displaying Pix 3.jpg

Displaying pix 4.jpg

 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akipokea kikombe cha ubingwa wa CECAFA kwa wanawake kutoka kwa Nahodha wa Kilimanjaro Queens Sophia Mwasikili.

Displaying pix 5.jpg
 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu(kushoto) akiinua juu kikombe cha ubingwa wa CECAFA kwa wanawake alichokipokea kutoka kwa Nahodha wa Kilimanjaro Queens Sophia Mwasikili(kulia).

Displaying Pix 6.jpg

Pix 6 Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu(kushoto) akipokea Bendera ya Taifa kutoka kwa katibu wa Chama cha Mpira mkoani Kagera Bw. Salum Chama mara baada ya Mabingwa wa CECAFA kwa wanawake Kilimanjaro Queens kuwasili kutoka Nchini Uganda katikati ni Mwenyekiti wa Soka la wanawake Amina Karuma.

(Picha na Hassan Silayo ) 

No comments