Mwambawahabari
Kaimu mkurugenzi wa wa NHIF bwana Bernard Konga kushoto akizungumza mza na waandishi wa habari hawapo pichani , katika Makaomakuu yamfuko huo  kurasini jijini Dar es salaam (picha na John Luhende)
Na:John Luhende 
mwambawahabari
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Bernard Konga amesema NHIF haitasita kuwachukulia  wamiliki wa vituo vya afya watakao kiuka makubaliano ya mkataba kama kumnyima huduma mwanachama au kufanya udanganyifu
Akizunguza na waandishi wa habari pia ameongeza kuwa  watu wenye matatizo ya moyo, wajawazito na wenye maradhi ya kidole tumbo ambao ni wanachama watapata nafuu  baada ya gharama za matibabu ya magonjwa hayo kuingizwa katika Huduma zinazotolewa na mfuko huo .
Aidha   NHIF imetangaza kugharimia huduma za upasuaji wa moyo kwa viwango vyote pamoja na wa uzazi na ule wa kidole tumbo ambavyo hapi awali  kwenye bima amesema  kuwa kuanzishwa kwahuduma hizo kutapanua wigo wa upatikanaji wa huduma za afya ambapi awali wagonjwa walikuwa wakichangia gharama siku ya kwanza wanapomuona daktari na wanapokwenda mara ya pili lakini Sasa watalipa mara ya kwanza tu.



Hatahivyo  Konga amesema kuwa NHIF hair as it a kimchi kula hatua  Kali mtoa Huduma atakaye enda kinyume na mkataba ikiwwmo kunyanyasa wanachama wake au kufanya udanganyifu katika malipo ya Huduma  na kwamba Madai yatokanayo na na udanganyifu hayatalipwa na mfuko huo.

Pamoja na hayo amefafanua kuwa mfuko huo kwamwakajana 2015_2016  umetumia kiasicha Tsh.209,675.23  million kulipia gharama za matibabu kwa wanachama wake ambapojumla ya wanufaika wa mfuko huo walio hudhuria vituo vya afya walikuwa  6,506,492.