Ads

WATU ZAIDI YA 40 WANUSURIKA KIFO KWA AJARI ENEO LA UHASIBU KILWA ROAD DAR ES SALAAM

Wazaidi ya 40 wamenusirika kifo  baada ya gari (Daladala) aina ya TATA lenyenye namba za usajili T353DCQ lilikuwa likitokea karia koo kuelekea mbagala  baada ya dereva  ambaye jina lake halikufahamika mara moja   ambapo gari hilo liingia mtaroni baada  kumsihinda  alipokuwa katika  harakati za kunusuru maisha ya watu walio kuwa katika gari dogo lilipo ingia ghafla    barabarani  likitoea katika kituo cha mafuta  cha GBP katika makutano ya barabara ya Kilwa na  Mandela,  


Mashuhuda wa ajali hiyo wameongea na mwambawa habari na kusemakuwa  hakuna mtu aliye poteza maisha ispokuwa baadhi ya watu wameumia vibaya  na wengine kiasi  na majeruhi hao walipakizwa katika gari la Polisi na kukimbizwa katika Hospital ya Temeke


TAZAMA TUKIO HILO KATIKA PICHA .
picha na John  Luhende 
mwambawahabari











No comments