SERIKALI YAKUSANYA ZADI YA TRILION MOJA
Na John Luhende
Mwambawahabariblog
Wizara ya
fedha na mipango leo imetoa taarifa kwa umma ya mapkusanyo ya mapato na matumizi ya serikali ambapo
zaidi ya shilingi zaidi ya trillion moja kutoka katika vyanzo mbalimbali vya mapato nchini zimekusanywa mwezi February
2016.
Akizungumza
na waandishi wa habari jjini Dar es salaam
katibu mkuu wawizara hiyo Serivacius Likwalile, amesema hatua hii ya kutoa taarifa kila mwezi
imekuja kufuatia agizo la raisi
lakukusanya mapato kutoka vyanzo vyote
vya mapato ya nchi na kutoa taarifa ya matumizi kwa wananchi ili kuweka uwazi zaidi na
kuacha utegemezi,na matumizi ya fedha hizo yameelekezwa zaidi katika
maeneo muhimu yaliyoelekezwa na Rais wa Jamhuri
ya Muungano Dr JOHN Magufuli.
Aidha
Likwalile ameyataja maeneo hayo kuwa ni
Elimu bure ambapo sh
billion 18.77kwaajili ya ada zimetolewa ,blion 2kwajili ya ujenzi wa shule
mkoa wa Dar es salaam alizo ahidi rais Magufuli wakati wa
mkutano na wazee wa Dar es salaam,mafunzo kwa vitendo kwa vyuo vya uwalimu 35.
Bilion 1.65
na 99.1 million jumla 148.65 vifaavya kufundishia wakufunzi 18.829 posho wa wakufunzi jumla 4002. 1 nauli
kwa wanafunzi wa vyuo 10.77 mishahara
watumishi wa umma na serikali za mitaa
515162 na wakala na taasisi za serikali
watumishi 41,256 nawtumishi wote
wamelipwa sh billion 573.
7
Deni la taifa
bilionfa 842.1 michango kwa mifuko ya jamii 81.13 maendeleo miradi mbalimbali 166.92 chuo
chaudactari mloganzila 18
bilion, mikopo ya elimu kwa wanafunzi wavyuo bilion 13.683 2.078tea,
mfuko wamaji 58.186 barabara na
mawasiliano nisha ti na madini ( rea )20.199 Reli bilion 2.2034 mfuko wa jimbo 4.503 ahadi
ya Rais kwamahakama 12 .3 bilion.
Post a Comment