Bodi ya Filamu yafanya kikao cha mapitio ya Filamu ya "DADA
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Jamii kutoka Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi.Costancia Gabusa (katikati) akichangia mada wakati wa kikao cha kupitia Filamu ya “DADA” kilichofanyika katika ofisi za Bodi ya Filamu Tanzania leo jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kimejumuhisha wajumbe kutoka Ofisi ya Uhamiaji Makao Makuu, Jeshi la Polisi, Wizara ya Afya na Maendeleo ya jinsia, wazee na watoto na TCRA.Kulia ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo na kushoto ni Afisa Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Fredrick Mgaza.
Wajumbe wa kikao cha mapitio ya Filamu ya “DADA” wakifuatilia Filamu hiyo leo jijini Dar es Salaa
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania
Bibi. Joyce Fissoo (mwenye gauni la kitenge) akiwa na baadhi ya Wajumbe wa
kikao cha mapitio ya Filamu ya “DADA” wakifuatilia Filamu hiyo leo jijini Dar
es Salaam.Kushoto ni Muongozaji wa na Mmiliki wa Filamu hiyo Bi. Christina
Mroni.
Picha na Frank
Shija,WHUSM
|
Post a Comment