• UCHUMI
  • KITAIFA
  • AFYA
  • CONTACT US

MWAMBA WA HABARI

Ads

  • Home
    • KITAIFA
    • AFYA
    • UCHUMI
    • CONTACT US
    Home / BURUDANI NA MICHEZO / Habari / BINGWA MTETEZI KOMBE LA MAPINDUZI ATOLEWA KWENYE MASHINDANO

    BINGWA MTETEZI KOMBE LA MAPINDUZI ATOLEWA KWENYE MASHINDANO

    1/10/2022 07:38:00 pm BURUDANI NA MICHEZO, Habari

    Mwamba wa Habari



    Mwamba wa Habari

    Klabu ya Azam Fc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali KOMBE la Mapinduzi    baada kumfunga bingwa mtetezi   ambaye pia ni Bingwa wa Kihistoria  nchini  ,Young  Africans kwa changamoto ya  mikwaju ya penati 9-8  baada ya kumalizika dakika 90 bila kufungana.

    Mchezo huo ambao ulikuwa wa aina yake ambapo timuzote zilitosha  nguvu kwa   kucheza mpira  unaovutia huku Yanga ikimkosa kiungo wake wa kimataifa Khalid Aucho na kipa wake wa kimataifa Didie Djiara.

    Mchezaji wa Yanga Yassin Mustafa ndiye aliyekosa penati ambayo alipiga ikaenda juu hivyo mchezaji wa Azam Fc Mudathiri Yahaya akaweza kumalizia mpira wa mwisho na kuwapeleka fainali.

    Azam Fc watawasubiri kati ya Namungo fc ama Simba Sc katika Fainali kwenye michuano hiyo ya Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar.

    Itakumbukwa Yanga  mwakajana walitwaa KOMBE la Mapinduzi kwa kuwafunga Watani wao Simba SC  na kuibua shangwe  kwa muda  wa Mwaka mzima  ambazo  zimezimwa Leo.

    Related Posts

    Habari

    Post a Comment

    No comments

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    TANGAZO

    TANGAZO

    ALMUNTAZIR WAPONGEZWA

    ALMUNTAZIR WAPONGEZWA

    Categories

    • Afy
    • AFYA
    • BIASHARA
    • Bunge
    • BUNGENI
    • BURUDANI NA MICHEZO
    • Habari
    • Habari za kitaifa
    • HABARI KIMATAIFA
    • Habari ya kitaifa
    • HABARI ZA KITAIF
    • HABARI ZA KITAIFA
    • HABARI ZA KITAIFA.
    • Habari za Mahakamani
    • Itaofa
    • KILIMO
    • KIMATAIFA.
    • Kita
    • Kitafa
    • Kitaia
    • kitaifa
    • Kitaifa.
    • Kiuchumi
    • Litigating
    • Magazeti ya leo.
    • MAKALA
    • Mazingira
    • Michezo
    • Michezo NA burudan
    • Michezo NA burudani
    • MICHEZO.
    • Mtaifa
    • MwambaTv Live
    • SIASA
    • UCHUMI
    • WANAWAKE
    • WANAWAKE.
    • WATOTO

    ZILIZOSOMWA ZAIDI

    • AZIMIO LA MUSOMA NA JULIUS NYERERE
      AZIMIO LA MUSOMA NA JULIUS NYERERE
      Judith Mhina Mwambawahabari Ni miaka 17 sasa tangu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipoaga dunia. Katika kuadhimish...
    • ELIMU YA MPIGA KURA YAWAVUTIA VIJANA WENGI MKOANI SIMIYU.
      ELIMU YA MPIGA KURA YAWAVUTIA VIJANA WENGI MKOANI SIMIYU.
        Baadhi ya vijana wakijibu maswali mbalimbali yaliyokuwa yakiulizwa na Maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi –NEC (Kulia) waliokuwa wakit...
    • JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI.
      Na Beatrice Lymo mwambawahabari “Uhai wa wanyamapori ni jambo linalotuhusu sisi sote katika Afrika, viumbe hai wa porini wakiwa kat...
    • MDEE NA WENZAKE WAKO NDANI YA BUNGE KIHALALI
      MDEE NA WENZAKE WAKO NDANI YA BUNGE KIHALALI
        Na Janeth Raphael - Dodoma Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chadema waliopo bungeni wapo kihalali. Hat...
    • UWANJA WA ARSENAL UMEKUWA SEHEMU YA CHANZO CHA KUVUNJWA STAMFORD BRIDGE
      UWANJA WA ARSENAL UMEKUWA SEHEMU YA CHANZO CHA KUVUNJWA STAMFORD BRIDGE
      mwambawahabari Na Saleh Ally, aliyekuwa London CHELSEA wanakubali kuwa uwanja wao sasa unatakiwa kufanyiwa mabadiliko, w...
    Created By Sora Templates | Distributed By Gooyaabi Templates