LIVE; Mhe. Rais Samia akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu, Chamwino - Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 10 Januari, 2022.
Post a Comment