Ads

Kamati Kuu ya CCM yapitisha majina matatu kuwania Kiti Cha Urais Zanzibar


Mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM imepitisha majina matatu ya wagombea Urais wa Zanzibar ambayo yatapigiwa kura na Halmashauri hiyo,ili kupata jina moja ambalo litapeperusha bendera ya kugombea Urais wa Zanzibar .

Dkt. Hussein Ali Mwinyi.
Dk. Khalid Salim Mohamed.
Shamsi Vuai Nahodha.

No comments