RAIS DKT.SHEIN ATOA MKONO WA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU BALOZI MSTAAF JOB LUSINDE
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisaini Kitabu cha maombolezi ya Marehemu Balozi Mstaaf Job Lusinde, alipofika nyumbani kwa Marehemu Mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma leo 10/7/2020, (kulia kwa Rais) Ndugu wa Marehemu Mzee John Malecela.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimpa mkono wa pole Mke wa Marehemu Balozi Mstaaf Job Lusinde Bi. Sara Lusinde, alipofika nyumbani kwa marehemu Mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma leo 10/7/2020 kutowa mkono wa pole kwa familia ya marehemu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitoa heshima ya mwisho ya kuaga mwili wa Marehemu Balozi Mstaaf Job Lusinde, alipofika nyumbani kwake mtaa wa Uzunguni Jijini Dodoma (kulia kwa Rais) Ndugu wa Marehemu Mzee John Malecela(Picha na Ikulu)

Post a Comment