Ads

Dkt. Hussein Mwinyi kupeperusha Bendera ya Urais Zanzibar

                    .......................................................


 Dkt. Hussein Mwinyi amepitishwa na Chama chake cha CCM kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar baada ya kupata kura 129 sawa na asilimia 78.65 ya kura zilizopigwa.

No comments