Ads

NAIBU WAZIRI ASHATU KIJAJI AZINDUA MADARASA YALIYOJENGWA NA TPB.



Mwambawahabari
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Ashatu Kijaji Mbunge akikata Utepe wakati wa uzinduzi wa majengo ya madarasa 2 Ofisi ya walimu 1 na samani za Ofisi na madawati 50 ya Shule ya Msingi Misray iliyopo kata ya Hondomaria Wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma yaliyo jengwa na Benki ya TPB yamegharimu milioni 68. Akishuhudia tukio hilo wakwanza kushoto ni Mwenekiti wa Bodi  ya wakurugenzi wa benki hio Dkt. Edmund Mndolwa.na Ofisa Mtendaji wa benki hiyo Sabasaba Moshingi.

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Misray iliyopo kata ya Hondomaria Wilaya ya Kondoa Mkoani Dodoma, wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri Ashatu Kijaji.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Ashatu Kijaji akipigamakofi baada ya kukataa Utepe jiwe la msingi. 

No comments