Ads

PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI ZIARA YA KAMATI YA UTEKELEZAJI UVCCM MKOA WA DAR ES SALAAM , ILIPOKUWA WILAYANI TEMEKE.

 Mwamba wa habari
Baadhi ya wajumbe  wa Kamati ya utekelezaji ya umoja wa Vijana  UVCCM  mkoa wa Dar es salaam  wakisikliza maelekezo kwa makini kutoka kwa mtaamu wa ujenzi wa kituo cha Afya Yombo  hayupo pichani ,ikiwa ni utekelezaji wa ialani ya CCM Wilayani Temeke   wakwanza kulia ni mwenyekiti   wa uhamasishaji na chipukizi Wilaya ya Ilala Saady Khimji,wapili  kulia ni Mushi , anayefuata ni Katibu wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, said Yassin said( picha zote na John Luhende )
 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wa CCM (UVCCM)  Mkoa wa Dar es salaam Bw. Mussa Kilakala  akisaini kitabu cha wageni kaika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Temeke   aliye upande wa kulia ni katiti wa UVCCM mkoa wa Dar es salaam  Said Yassini waliptembelea ofisini hapo.
 Mkuu wa Wilaya ya Temeke Felix  Lyaniva  aliye kushoto  akiwaongoza vijana  kuelekea katika ofisi ya Mkurugenzi wa  Manispaa ya Temeke,



 Baadhi ya wajumbe  wa Kamati ya utekelezaji ya umoja wa Vijana  UVCCM  mkoa wa Dar es salaam wakiwa  katika wakisikliza maelekezo kwa makini kutoka kwa mtaamu wa ujenzi wa kituo cha Afya Yombo
 Baadhi ya wakuu wa Idara katika Manispaa ya Temeke wakiwa kaika kikao na umoja wa  Vijana CCM  ,wakwanza upande wa kulia ni  Mchumi wa Manispaa hiyo Benard Matekele, anaye mfuatia ni mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii na vijana  wa  wilaya hiyo  halmashauri  hiyo John Bwana ambapo katika taarifa yake , amewataka wanawake na vijana kuendelea kuresha  fedha za mikopo walipatiwa ili na wengine waweze kukopeshwa
 Baadhi ya wajumbe  wa Kamati ya utekelezaji ya umoja wa Vijana  UVCCM  mkoa wa Dar es salaam wakiwa  katika picha ya pamoja. 


Sehemu ya Jengo la zahanati ya Yombo ikiendelea kujengwa

No comments