Ads

ALBAM YA NYIMBO ZA KIZALENDO,TANZANIA MPYA YATAMBULISHWA DAR


Displaying IMG_20161024_120332_806.JPG
Msanii anaye mba nyimbo za  kuhamasisha uzalendo ,Olvia Mallonga alyeko upande wa  kulia ,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu albam yake mya aliyo ielekeza zaidi katika kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano,aliye upande wa kushoto ni afisa habari wa dara ya habari maelezo 

Na:John Luhende 
mwambawahabari
Msanii wakitanza anaye imba nyimbo za uzalendo bi Olvia Mallonga  amewataka watanzania kuweka mbele uzalendo hatakama wana haliduni ya kimaisha kwa Sasa ila waamini kuwa iposiku watafanikiwa kutoka na na mipango mizuri ya maendeleo inayopangwa na serikali ya awamu yatano iliyo dhamiria kuifikisha nchi katika uchumi wa kati na kusisitiza ujenziwa  Viwanda. 

Msanii huyo ameyasema hayo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es salaam, alipokuwa akitambulisha album yake mpya   ya  DVD aliyopa jina la Tanzania mpya  ikiwa katika kuadhimisha   mmoja wa serikali ya awamu ya tano inayo ongozwa na Rais John Pombe Magufuli.

’’kwa walio ndani na nje ya nchi tukitambua  ya kuwa Tanzania hii mpya  ya awamu ya tano  kwakweli ina hitaji sote tuwe wazalendo mia kwa mia tukitanguliza mbele maslahi ya Taifa letu kwa fada ya  vizazi vijavyo”


Alisema huu n wakati mwafaka wa kwa watanzania kuzinduka na kufanya mema kwa nchiyetu na kujifunza kutumia hisia zetu binafsi na utashi tuliopewa na Mungu kwa kupitia njia kuu za fahamu na kuona na kusikia  na  kufkia maamuzi tuliyo yapima wenyewe na sikufuata mkumbo na properganda  bali tuweke nguvu kwenye masuala yenye tija kwa taifa.

‘’Umoja na uzalendo wetu ndiyo  mafanikio yetu na taifa letu tukibadilishana  mtzamo na fikra  na tuwe watu wa hapakazitu kamailivyo bainishwa  katika wimbo wawangu  katika albam ya Tanzania mpya ‘’


Olvia Mallonga ni kati ya wasaani wachachenchini wanaoimba nyimbo za kuhamasisha uzalendo, na amesema hatachoka kuhamasisha  jamii  kuwa wazalendo nchi yao kwakuwa nikazi ambayo   ameipenda toka moyoni na anajisikia amani anapo ona watanzania wana ishi kwa amani na kuheshimu sheria za nchi, mwmbaji huyu pia ni mjumbe wa kamat kuu ya mkesha  mkuu wa  kuliombea taifa  unao fanyika uwanja wa Taifa kila mwanzo wa mwaka   chini ya Askofu Mallasy.  

Displaying IMG_20161025_223855_225.JPG

Displaying IMG_20161025_223927_415.JPG

No comments