SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYAMAZUNGUMZO NA MABALOZI WATATU.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akimkaribisha Balozi wa Oman nchini Ali A.Al
Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
SP1b: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
Tanzania Mhe. Job Ndugai akifurahia jambo na Balozi wa Oman nchini Ali A.Al
Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa Oman
nchini Mhe. Ali A. Al Mahruqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam
leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Shirikisho la
Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter alipomtembelea Ofisini kwake Jijini
Dar es Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiteta jambo na Balozi wa Shirikisho la
Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter alipomtembelea Ofisini kwake Jijini
Dar es Salaam leo.
SP2c: Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiagana na Balozi wa Shirikisho la Jamhuri
ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza mazungumzo yao leo
Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipeana mikono na Balozi wa Shirikisho la
Jamhuri ya Ujerumani Dkt. Detlef Waechter mara baada ya kumaliza mazungumzo yao
leo Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Kuwait nchini Mhe.
Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akiteta akiwa katika mazungumzo na Balozi wa
Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es
Salaam leo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai akipokea barua ya Spika wa Bunge la Kuwait
kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al- Najem alipomtembelea Ofisini
kwake Jijini Dar es Salaam leo.(Picha na: Frank Shija – MAELEZO)









Post a Comment