Ads

WAJUMBE WA KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) WAPIGWA MSASA KUHUSU MAJUKUMU YA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT

mwambawahabari

Displaying PICHA 3.JPG
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (Kulia) akiwaeleza Wajumbe wa Kamati yake kuhusu mada zinazojadiliwa katika Mafunzo ya kuwajengea Uwezo kwa wajumbe hao kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) yaliyowakutanisha wajumbe wa Kamati hiyo leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) jijini Dar es Salaam.


Displaying PICHA 1A.JPGMwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (Kulia) akiwaeleza Wajumbe wa Kamati yake kuhusu mada zinazojadiliwa katika Mafunzo ya kuwajengea Uwezo kwa wajumbe hao kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) yaliyowakutanisha wajumbe wa Kamati hiyo leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) jijini Dar es Salaam.


Displaying PICHA 2B.JPG

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Natu Mwamba (mwenye kilemba) akiwafafanulia Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kabla ya kuanza uwasilishwaji mada wakati wa mafunzo yaliyowakutanisha Wajumbe wa Kamati hiyo leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) jijini Dar es Salaam.

Displaying PICHA 6.JPG
Displaying PICHA 5..JPG

Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifuatilia mada kuhusu majukumu mbalimbali ya Benki ya Tanzania (BOT) zikizowasilishwa na baadhi ya Wajumbe wa Kamati hiyo wakati walipohudhuria mafunzo ya kuwajengea uwezo toka BOT yaliyofanyika leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) jijini Dar es Salaam.

Displaying PICHA 7.JPG

Displaying PICHA 13.JPG

Baadhi ya Wajumbe Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiwasilisha mada kuhusu majukumu mbalimbali ya Benki ya Tanzania (BOT) mbele ya Mwenyekiti na naibu Gavana wa BOT leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) jijini Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA BUNGE-DAR ES SALAAM)

No comments