Ads

WEALTH MANAGEMENT YA UTT AMIS KUSAIDIA WATANZANIA KUWEKEZA PESA ZAO KWA FAIDA


Mkurugenzi wa Masoko na uhusiano wa UTTAMIS  Daudi Mbaga akizungumza na wa waandishi wahabari hawapo pichani( Picha na John Luhende)


Na John Luhende 
mwambawahabari
UTT AMIS, katika katika kusaidia watanzania  kutunza malizao kwa usalama na uangalizi nzuri na kuleta faida yenye tija ,mfuko huo umeanzisha Huduma inayo julikana kwa jina la  wealth management, natayari Huduma hiyo imeanza kufanyakazi.

Akizungumza na waandishi wa habari  mkurugenzi wa Masoko na  uhusianowa mfuko huo   Daudi Mbaga ,   amesema Huduma hii itasaidia kwa kiasi kikubwa hasa kipindi hiki ambapo watu bado wana utamaduni au mazoea ya kuweka pesa zao majumbani ambapo kufanya hivyo kuna athiri mzunguko wa fedha na amesema na kutoka mfano wa tukio lililo tokea huko arusha aliye fukia pesa chini zenye thamani ya shilingi milioni 30, wao  katika Huduma yao watasaidia kuwekeze hizo pesa na kuzalisha faida kwa mwenye pesa.

Akizunguzia  faida ya wealth management bwana Mbaga amesema Huduma  hiyo nitofauti na Huduma zingine za kuweka hisa yenyewe hazalisha kuanzia asilimia 10%  na kuendelea ,na amewakaribisha wote wenyenia ya kutumia Huduma  hiyo kufika jengo la Sukari house ghorofa ya pili ili waanze kufurahia Huduma hiyo.


Pamoja na hayo Mbaga amefafanua kuwa utaratibu wa kuchukua pesa UTT , nitofauti na kuchukua pesa Bank kwa kuwa  Bank MTU anakuwa amesema pesa lakini UTT anawekeza hivyo unapotaka kutoka pesa una lazimika kuaandika /kujazaform na kuanzia siku Tatu hadi siku kumi una weza kuchukua pesa zako.

No comments