Habari picha Rais Magufuli azindua kiwanda cha kuchakata matunda cha Bahkresa Food Product Limited
mwambawahabari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akiongea na Uongozi na wafanyakazi wa kiwanda cha Bhakresa Food Product mara baada ya kuzindua kiwanda cha kuchakata Matunda kilichopo Mkuranga,Pwani.Kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa makampuni ya Bhakresa Bw.Said Salim Bhakresa
Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akizungumza na Uongozi na wafanyakazi wa kiwanda cha Bhakresa Food Product kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kuzungumza.Kushoto kwake ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli na Mwenyekiti wa makampuni ya Bhakresa Bw.Said Salim Bhakresa.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo akitoa salamu za mkoa wa Pwani kwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli(katikati waliokaa) kabla hajaongea na Uongozi na wafanyakazi wa kiwanda cha Azam leo.Wengine Pichani ni Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage na Mwenyekiti wa makampuni ya Bhakresa Bw.Said Salim Bhakresa
Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media Bw.Yusuph Bhakresa akitoa neno la Ukaribisho na maelezo mafupi kwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli juu ya kiwanda kipya cha kuchakata Matunda kilichojengwa Mwandege,Mkuranga,Pwani.Wengine Kushoto kwake ni Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo na Mwenyekiti wa makampuni ya Bhakresa Bw.Said Salim Bhakresa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akiskiliza maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa makampuni ya Bhakresa Bw.Said Salim Bhakresa kuhusu uzalishaji unavyofanyika katika kiwanda cha Bhakresa Food Product kilichopo Mkuranga,Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akikata utepe kuzindua kiwanda kipya cha kuchakata Matunda cha Bhakresa Food Product kilichopo Mkuranga, Pwani.Kulia kwake ni Mwenyekiti wa makampuni ya Bhakresa Bw.Said Salim Bhakresa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi wa Masuala ya Jamii wa Bahkresa Group Bw.Hussein Yusuph Ally (mwenye kofia nyeupe) jinsi matunda yanayotumika kutengeneza juisi yanavyoifadhiwa katika mapipa maalum.Katikati ni Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo(wa kwanza kushoto).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akiangalia jinsi uchaguaji matunda unavyofanyika kabla ya kuyachakata katika kiwanda kipya cha Bhakresa Food Product kilichopo mkuranga,Pwani.Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa makampuni ya Bhakresa Bw.Said Salim Bhakresa na Mkurugenzi wa Masuala ya Jamii wa Bahkresa Group Bw.Hussein Yusuph Ally (mwenye kofia nyeupe).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akiuliza swali kwa mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda Bhakresa Food Product kinachotengeneza vinywaji Mkuranga, Pwani.Kushoto kwake wanaotazama ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo na Mwenyekiti wa makampuni ya Bhakresa Bw.Said Salim Bhakresa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli akikaribishwa kiwandani na mmoja wa wafanyakazi wa kiwanda cha Bhakresa Food Product wakati akiangalia vinywaji mbalimbali vinavyotengenezwa kiwandani hapo Mkuranga,Pwani.
Wafanyakazi mbalimbali wa Kiwanda cha Bhakresa Food Product wakimskiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufuli(hayupo pichani) wakati akizungumza nao mara baada nya kuzindua kiwanda cha kuchakata matunda Mkuranga,Pwani.
Post a Comment