Saa chache baada ya
kuzinduliwa daraja la katika kivuko cha magogoni jijini Dar es salaam kumetokea ajali ya alfajiri
kuamkia leo gari aina ya Hiace lililokuwa katika foleni ya kuingia katika
kivuko Upande wa magogoni kuelekea Kigamboni lilizama katika Bahari kwakile
kilichoelezwa kuwa dereva hakuweka break ya mkono (hand break) na
kusababisha gari hilo kuseleleka hadi Baharini. .
Kwamujibu wa Mashuhuda
watukio hilo wanasema gari hilo lilipewa
kipaumbele kwani inasemekana lilikuwa limebeba waombolezaji waliokuwa wakienda
msibani upande wa Kigamboni na kuamliwa
watu waliokuwa ndani ya gari hilo kushuka kwamujibu wa sheria ya kivuko na kubaki mama mmoja ambaye inasemekana kuwa
alikuwa mgonjwa anjulikanakwaji la Nice Mwakarago kutoka mbeya na nasasa mama huyo ndiye aliye poteza maisha
pamoja na dereva wa gari hilo.
wasikize ndugu wa marehemu na mashuhuda hao akiwemo mbunge wa kigamboni Dr Faustine Ndungulile
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment