SPIKA NDUGAI ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA MASIFU NA MAZISHI YA ASKOFU MSTAAFU WA JIMBO LA DODOMA.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akitoa salamu za rambirambi wakati wa misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph katika kanisa kuu katoliki Jimbo la Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiteta jambo na Mweyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva wakati wa misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph katika kanisa kuu katoliki Jimbo la Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim ,Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai na Mweyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva wakishiriki misa takatifu, masifu na mazishi ya Askofu msataafu wa Jimbo la Dodoma Hayati Mathias Isuja Joseph katika kanisa kuu katoliki Jimbo la Dodoma.

Post a Comment