Naibu Waziri wa Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Anthony Mavunde leo
amezindua msimu wa pili wa air
tel ffursa utakao wezesha vijana wa
kitanzania kutimiza ndoto zao kiuchumi
Naibu waziri Anthon Mavunde katikati kushoto na katikati kulia ni mkurugenzi wa AirtelSunilColaso akizindua Airtel fursa
Post a Comment