Ads

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari ,akabidhi Juzuu za Sheria

 

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari tarehe 26 Juni, 2025 amekabidhi Juzuu za Sheria kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko (Mb) na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb).

Juzuu hizo za Sheria Kuu 446 zilizofanyiwa Urekebu Mwaka 2023 zilisainiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 23 Aprili, 2025 na zitaanza kutumika Julai, 2025.



No comments