Ads

HABARI PICHA MKUTANO WA TAASISI ZA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu,Dkt Dorothy Gwajima , katikati akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi za uwezeshaji wanawake kiuchumi katika mkutano uliofanyika  hivi karibuni Jijini Dar es salaam. 

Wanawake kutoka katika vikundi Taasisi za uwezeshaji wanawake kiuchumi zinazo shughulika na masuala ya wanawake  , wakiwa katika mkutano maalumu ulioitishwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu,Dkt Dorothy Gwajima Jijini Dar es salaam.


Katibu mkuu wa Taasisi ya Kicheko Foundation ,Rosemary Msafiri Kimolo,akifafanua jambo  mbele ya   mkutano maalumu uliokutanisha wadau wa uwezeshaji wanawake kiuchumi uliofanyika hivi karibuni Jijini Dar es salaam.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu,Dkt Dorothy Gwajima akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa wizara ya  Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu baada ya mkutano ulikutanisha wadau wa uwezeshaji wanawake kiuchumi.


Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu,Dkt Dorothy Gwajima  kushoto ,akiwa katika picha ya pamoja na Katibu mkuu wa taasisi ya Kicheko Foundation ,Rosemary Msafiri Kimolo.
 

 

No comments