WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKISOMA HOTUBA YA KUAHIRISHA BUNGE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 10, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete, Bungeni jijini Dodoma, Februari 10, 2023. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Madiwani kutoka jiji la Tanga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari 10, 2023. Kushoto kwake ni Mbunge wa Tanga Mjini na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment