Ads

RAIS SAMIA AONGOZA MAELFU SIKU KUU YA MASHUJAA





Na Wellu Mtaki  24July 2022. Dodoma.

RAIS SAMIA AONGOZA MAELFU SIKU KUU YA MASHUJAA

RAIS Samia Suluhu Hasan leo tarehe 25 Julai mwaka huu ameongoza maelfu ya watanzania katika maadhimisho ya sikukuu ya mashujaa iliyofanyika kitaifa Jijini Dodoma na kueleza mikoa yote Tanzania imeathimisho hayo.

Amesema mashujaa yalipambana kifikra na vitendo ikiwani vita ya  maji maji na vita ya pili ya Dunia pamoja na mapinduzi ya zanzibari na vita ya Kagera.

Amesema kuwa watanzania hawawezi kusahau mchango mkubwa waliofanya katika kukomboa bara la afrika licha ya kushindwa kufanya sherehe hizo wakati wa kipindi cha janga la korona.

Aidha amemkumbuka baba wa Taifa Mwalimu Kambarage Nyerere ikiwa kuleta ukobozi.

Amesema serikali inaendelea kutekeleza mambo ya mtagulizi wake hayati John Magufuli ambaye alitamka mwaka 2016 Dodoma kuwa makao makuu.

Aidha amesema kuwa ili kuwa na ushujaa ni lazima kuwa na chakula cha kutosha,afya pamoja na huduma zaidi za kibinadamu.

Katika hatua nyingine amemwagiza Waziri Mkuu wa Jamhuri yaMuungsno wa Tanzania Kasimu Majaliwa kutafuta eneo kubwa zaidi la kuenzi sikuu ya mashujaa ambao utajengwa kwa bei nafuu.

"Kutafuta kuwa Dodoma ni makao Makuu natoa mapendekezo kwa Waziri Mkuu kutafuta kwa kubwa zaidi na ajili ya ujenzi wa  eneo kubwa zaidi pamoja na kuwa na ujenzi wa Gharama Nafuu.

" Pia natoa pendekezo lingine ya kuona Namba bora ya kuboresha maadhimisho hayo ambayo pia yatakuwa na gharama nafuu"ameeleza Rais Samia.

Katika hatua nyingine amezidi kusisitiza Kujikinga na uviko 19 pamoja kuendelea kuhamasishana watu Kusensabika mwezi Agosti 23 mwaka huu.

 

No comments