Ads

WIZARA YA AFYA YATOA SIKU 3 KWA BENKI KUREJESHA VITAKASA MIKONO KWENYE ATM

 


Mkurugenzi wa Idara ya Kinga wa Wizara Wizara ya  Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Leonard Subi, amesema Benki zilikuwa zimeweka 'Sanitizers' kwenye ATM lakini kwa sasa hazipo


Ametoa siku tatu kwa Benki zote Nchini kurejesha vitakasa mikono kwenye ATM ili kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona

Aidha, amesema kwa sasa  Tanzania  ni salama lakini kuna tishio la maambukizi Duniani, hivyo ni muhimu kuendelea kuchukua tahadhari.
Jamiiforums

No comments