KAMISHNA CP LIBERATUS SABAS LEO AMEFAYA ZIARA YA KUKAGUA MPAKA WA TANZANIA NA ZAMBIA KATIKA MKOA WA SONGWE.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas wa tatu kutoka kushoto akifuatiwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe RPC George Kiando pamoja na maafisa wengine wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe wakiwa Wilaya ya Momba wakikagua mpaka wa Tunduma (Tanzania) na Zimbia. (Picha na Jeshi la Polisi)
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas, katikati akionyeshwa jiwe la Mpaka wa Tanzania na Zambia na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe RPC George kiando wakati akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani huo leo 27/08/2020.(Picha na Jeshi la Polisi)
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas katikati na kulia kwake ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mapato katoka mpaka wa Tunduma Ndugu Hanangisia Mtasha, pamoja na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe RPC George Kiando wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kikao kazi hapo katika mpaka wa Tunduma.(Picha na Jeshi la Polisi)

Post a Comment