Ads

MASAUNI ACHUKUA FOMU KUOMBA KUTEULIWA NA CCM KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR

 Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.Kushoto ni Katibu Kamati Maalumu ya  NEC na Idara ya Oganaizesheni,fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar,kulia ni mkewe Thania Abdulla, fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida

No comments