KAMISHNA WA TUME YA UTUMISHI WA UMMA KUFANYA MKUTANO WAKE WA KISHERIA MWAKA WA FEDHA 2019/2020 JIJINI DAR ES SALAAM

Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Balozi (mstaafu) Mheshimiwa Daniel Ole Njoolay (katikati) akizungumza wakati wa kikao cha Tume kilichoanza leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Kamishna George Yambesi na kushoto ni Kamishna Immaculate Ngwalle. (Picha na PSC)
…………………………………………………………………………………………………….

Post a Comment