Ads

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE ATANGAZA KURUDI CCM

Mwambawahabari


Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye leo Jumatatu Februari 10, 2020 ametangaza kurejea CCM katika ofisi ndogo za chama hicho zilizopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam


Disemba 4, 2019 alitangaza kujiondoa CHADEMA na kusema atakuwa mshauri huru wa masuala ya kisiasa.

No comments