MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA GEITA NA KUFUNGUA NYUMBA ZA WATUMISHI
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi wa Mkoa wa Geita baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Geita Septemba 22, 2019. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Nyumba za Makazi za Wakuu wa Idara na Vitengo wa Secretarieti ya Mkoa wa Geita, Septemba 22, 2019. Wengine pichani kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu, Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Geita, Alhaj Said Kalidushi, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri na kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Vicky Kamata, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment