SPIKA WA BUNGE, MHE. JOB NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA
Mwambawahabari
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana
na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura alipomtembela leo
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Balozi huyo alimtembelea Spika Ndugai kwa
ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini Tanzania
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza
na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura alipomtembela leo
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Balozi huyo alimtembelea Spika Ndugai kwa
ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini Tanzania
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene
Kayihura alipomtembela leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Balozi huyo
alimtembelea Spika Ndugai kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa
kazi hapa nchini Tanzania
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiagana
na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura alipomtembela leo
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Balozi huyo alimtembelea Spika Ndugai kwa
ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini Tanzania
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
Post a Comment