MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU KWENYE MKUTANO WA (AU)
Mwambawahabari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na
Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda Richard Sezibera, katika ukumbi wa mkutano wa
kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari
11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais
FIFA Gianni Infantino, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis
Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rais
FIFA Gianni Infantino, katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis
Ababa Ethiopia Februari 11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia picha
za Viongozi Waasisi wa Ukombozi wa Afrika, ndani ya ukumbi wa mkutano wa
kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia Februari
11, 2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma kitabu, kwenye
ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Addis Ababa Ethiopia
Februari 11, 2019 (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment